Verse 1.
Kama umenikosha hivi
siwezagi kuzama simple
Usione umenishika akili
usije ukajidanganya hivyo
Bridge
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu)
Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )
Aaaaaah ( Basi we tulizana tu )
Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae!?)
Chorus
Ntakucheki….(Ntakupigia) ama utanicheki
Will you check on me!?
Ntakucheki… (Ntakupigia) ama utanicheck
Willy you check on me?
Coz I know good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Verse 2.
Na huo uzuri ulionao halafu naskia hii dunia tunapita
Sasa unabana ya nini!?
Secretary mzuri ukicheki Muda saa Sita
usishangae kumuona boss kazini
najua kukung’oa sio easy! No!
Ila ukinitema itanikata ka Kahaba akiwa period
Kuvimba, kunata, sio Password
Hata uniangalie vibaya leo ntakusemesha tu
Basi navyokucheki una mute
Nahisi ka umenipenda pia ka moyo puh puh
Yani hauna break mbio tu
Sio siri umenichanganya ka milango ya push and pull
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu…..)
Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )
Aaaaaah ( Basi we tulizana tu )
Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae )
Ntakucheki….(Ntakupigia) ama utanicheki
Will you check on me!?
Ntakucheki… (Ntakupigia) ama utanicheck
Willy you check on me!?
Coz I know good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
My love ooh my love
I go mad for your love babygirl
My love ooh my love
I go mad for your love babygirl
Produced by International | https://instagram.com/internationalbe…
Mixing & Mastering by P-funk Majani | https://instagram.com/majani187/
Join Our Family;
https://instagram.com/rapcha_tz/
https://twitter.com/rapcha_tz/
https://tiktok.com/rapcha_tz/
#Rapcha #Nitakucheki #Wanangu99PreAlbum
Comment